TANGAZO

NAFASI ZA MASOMO KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA (Form VI),KIDATO CHA NNE (Form IV) NA KIDATO CHA PILI (Form II).

INSTITUTE OF RESEARCH AND INNOVATION ZANZIBAR (IRIZ).

Inawatangazia wazazi na walezi nafasi za masomo katika kozi zifuatazo:

  1. Diploma in ICT na Economics With Business Administration (EBA)
  2. Certificate in ICT na EBA
  3. Bridge course in ICT na EBA. na
  4. Foundation in ICT na EBA.
KIGEZO KWA DIPLOMA:
Awe amemaliza kidato cha sita (form six) au Awe amepata C tano za kidato cha nne au Awe amepata mafunzo yoyote katika ngazi ya Certificate katika chuo kinachotambuliwa na NACTE.
KIGEZO KWA CERTIFICATE:
Awe amepata D nne za kidato cha nne au Awe amepata mafunzo ya Foundation katika chuo kinachotambuliwa na VTA au VETA au Awe amepata mafunzo ya Foundation katika chuo kinachotambuliwa na VTA au VETA.
KIGEZO KWA FOUNDATION:
Wanafunzi waliomaliza masomo ya kidato cha nne (Form IV) au kidato cha pili (Form II)
MUHIMU: Masomo yanaendeshwa kitaalamu na walimu wenye uzoefu kwa kutumia mitaala maalum pia kutakua na masomo ya vitendo.
TUPO: MOMBASA karibu na SUPERMARKET katika mtaa wa SWALA nyuma ya skuli ya msingi ya ALFALAH MOMBASA.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu namba. 0776778991 au 0679368860 au 0776108398 au 0772296000
“IRIZ GOOD BRAIN TO GREAT MIND”

CHUO KIMESAJILIWA NA BARAZA LA VYUO VYA UFUNDI TANZANIA KWA NAMBA BTP/033P
PIA CHUO KIMESAJILIWA NA BARAZA LA VYUO VYA UFUNDI ZANZIBAR (VTA) KWA NAMBA VTC/2016/5/00033/1